Saturday, January 10, 2015

AJALI MH. SUGUMbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini,Mh. Joseph Mbilinyi akifanya mawasiliano kwa ndugu na jamaa mara baada ya kupata ajali mbaya na kunusurika kifo, ajali hiyo imetokea eneo la Mlima Kitonga Mkoani Iringa mchana wa leo. 
kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa Mh. Mbilinyi alikuwa safarini akitokea Mkoani Mbeya kuelekea jijini Dar akiwa na jamaa zake Wanne katika gari hilo lenye namba za usajili T 148 BQE. 
katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha.
AJALI MH. SUGUMbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini,Mh. Joseph Mbilinyi (watatu kushoto) akizungumza namna hali ilivyokuwa mpaka kupata ajali hiyo.
AJALI MH. SUGU
Gari hiyo inavyoonekana.
AJALI MH. SUGU

0 comments:

Post a Comment

Unordered List

Sample Text

Ordered List

HTML Table

Powered by Blogger.

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget